# Alimota nje "Yesu alimtoa nje" # akaweka vidole vyake kwenye masikio yake Yesu anaweka vidole kwenye masikio yake. # baada ya kutema mate, aligusa ulimi wake Yesu anatema mate na kisha anagusa ulimi wa mwanaume. # baada ya kutema Inaweza kuwa msaada kusema kwamba Yesu alitemea mate vidole vyake. # alitazama juu mbinguni Hii inamaanisha kuwa alitaza juu mbinguni, ambako kunahusishwa na eneo analoishi Mungu. # Efata Mwandishi anataka msomaji ajue jinsi neno linavyo sikika, Kwa hiyo andika hii kwa kutumia alfabeti za lugha yako na neno lisike karibu na "effatha" kwa kadri uwezavyo. # Kuvuta pumzi akavuta pumzi kuonyesha kuwa hakuwa na furaha. # kusema naye "alisema na mwanaume" # masikio yake yalifunguliwa Hii inamaanisha alikuwa hawezi kusikia. "masikio yake yalifunguliwa na aliweza kusikia" # Kilichokuwa kimeshikilia ulimi wake kilitolewa. "Yesu alikitoa kilichokuwa kimeushikilia ulimi wake" au "Yesu aliponya kilichokuwa kimemfanya asiongee vizuri" # kilichokuwa kimezuia ulimi "kinachomzuia yeye kuongea " au "usemi wake kuwa na kikwazo"