sw_tn/mrk/06/04.md

12 lines
420 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwao
"kwa umati"
# Nabii hakosi heshima ila
Ni hakika kabisa kwamba wananiheshimu na manabii wengine wa sehemu nyingine,lakini si ndani ya miji tuliozaliwa! Hata kidogo na watu wanaoishi katika nyumba zetu hawatuheshimu!"
# aliwawekea mikono wagonjwa wachache
"kuwawekea mikono" inarejea kwa nabii au mwalimu kuweka mikono yake kwa yeyote na kutoa aidha uponyaji au baraka. Katika jambo hili, Yesu anaponya watu.