# kwao "kwa umati" # Nabii hakosi heshima ila Ni hakika kabisa kwamba wananiheshimu na manabii wengine wa sehemu nyingine,lakini si ndani ya miji tuliozaliwa! Hata kidogo na watu wanaoishi katika nyumba zetu hawatuheshimu!" # aliwawekea mikono wagonjwa wachache "kuwawekea mikono" inarejea kwa nabii au mwalimu kuweka mikono yake kwa yeyote na kutoa aidha uponyaji au baraka. Katika jambo hili, Yesu anaponya watu.