sw_tn/mrk/03/13.md

12 lines
405 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu awaita rasmi wanafunzi wake kabla hajaenda nyumbani, pale aliposhitakiwa kuwa wazimu na aliyetawaliwa na Beelzebuli.
# ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri
"ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri"
# Simoni, aliyempa jina la Petro
Mwandishi anaanza kuwataja orodha ya majina ya mitume kumi na mbili. Simoni ni mtu wa kwanza aliye kutajwa.