# Sentensi unganishi Yesu awaita rasmi wanafunzi wake kabla hajaenda nyumbani, pale aliposhitakiwa kuwa wazimu na aliyetawaliwa na Beelzebuli. # ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri "ili kwamba wawe pamoja naye na aweze kuwatuma kuhubiri" # Simoni, aliyempa jina la Petro Mwandishi anaanza kuwataja orodha ya majina ya mitume kumi na mbili. Simoni ni mtu wa kwanza aliye kutajwa.