sw_tn/mrk/01/19.md

20 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ndani ya mtumbwi
"ndani ya mtumbwi wao"
# kutayarisha nyavu
"kushona nyavu"
# aliwaita wao
Inaweza kuwa msaada kusema wazi kwanini Yesu alimwita Yakobo na Yohana. AT: "aliwaita wao waje naye"
# watumishi waliokodiwa
"watumishi ambao walifanya kazi kwa ajili yao"
# walimfuata
"Yakobo na Yohana walikwenda pamoja na Yesu"