# ndani ya mtumbwi "ndani ya mtumbwi wao" # kutayarisha nyavu "kushona nyavu" # aliwaita wao Inaweza kuwa msaada kusema wazi kwanini Yesu alimwita Yakobo na Yohana. AT: "aliwaita wao waje naye" # watumishi waliokodiwa "watumishi ambao walifanya kazi kwa ajili yao" # walimfuata "Yakobo na Yohana walikwenda pamoja na Yesu"