sw_tn/mat/27/32.md

24 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Walipotoka nje
Hii inamaanisha Yesu na maaskari walitoka nje ya mji, "walipokuwa wakitoka nje ya Yerusalaem"
# walimwonamtu
"maaskari walimwona mtu"
# ambaye walimulazimisha kwenda nao ili apate kubeba msalaba wake
"amabye maaskari walimlazimisha kwenda naye ili kwamba abebe msalaba wa Yesu"
# mahali paitwapo fuvu la kichwa
"eneo ambalo watu waliliita Golgotha"
# Walimpa siki iliyochanganywa na nyongo.
"walimpa siki, ambayo walikuwa wameichanganya na nyongo"
# siki
kinwaji kichungu cha njano ambacho miili hukitumia kwa mmeng'enyo wa chakula