# Walipotoka nje Hii inamaanisha Yesu na maaskari walitoka nje ya mji, "walipokuwa wakitoka nje ya Yerusalaem" # walimwonamtu "maaskari walimwona mtu" # ambaye walimulazimisha kwenda nao ili apate kubeba msalaba wake "amabye maaskari walimlazimisha kwenda naye ili kwamba abebe msalaba wa Yesu" # mahali paitwapo fuvu la kichwa "eneo ambalo watu waliliita Golgotha" # Walimpa siki iliyochanganywa na nyongo. "walimpa siki, ambayo walikuwa wameichanganya na nyongo" # siki kinwaji kichungu cha njano ambacho miili hukitumia kwa mmeng'enyo wa chakula