sw_tn/mat/27/17.md

28 lines
542 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# walipokiuwa wamekusanyika
"umati ulikuwa umekusanyika"
# Yesu anayeitwa Kristo
ambaye watu baadhi humwita Kristo
# wamekwisha kumkamata Yesu
viongozi wa Wayahudi walikuwa wamemleta Yesu kwake. "walifanya haya ili kwamba Pilato amhukumu Yesu.
# alipokuwa akiketi
"Pilato alopokuwa ameketi"
# alipokuwa akiketi kwenye kti chake cha hukumu"
"Kuketi kwenye kiti cha hakimu." Hapa ndipo hakimu huketi anapokuwa akifanya maamuzi.
# alimtumia neno
"neno" inamaanisha ujumbe. "alituma ujumbe"
# leo nimeteswa mno
"Nimeteseka san leo"