# walipokiuwa wamekusanyika "umati ulikuwa umekusanyika" # Yesu anayeitwa Kristo ambaye watu baadhi humwita Kristo # wamekwisha kumkamata Yesu viongozi wa Wayahudi walikuwa wamemleta Yesu kwake. "walifanya haya ili kwamba Pilato amhukumu Yesu. # alipokuwa akiketi "Pilato alopokuwa ameketi" # alipokuwa akiketi kwenye kti chake cha hukumu" "Kuketi kwenye kiti cha hakimu." Hapa ndipo hakimu huketi anapokuwa akifanya maamuzi. # alimtumia neno "neno" inamaanisha ujumbe. "alituma ujumbe" # leo nimeteswa mno "Nimeteseka san leo"