sw_tn/mat/27/11.md

28 lines
757 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Senteni unganishi
Ni habari inayoanzi 27:1
# Sasa
Kama lugha yako ina maneno yanyotumika kuendeleza mazungumzo baada ya pumziko la hadithi kubwa, waweza kuyatumia hapa
# liwali
"Pilato"
# wewe wasema hivyo
Hii ni nahau ambayo Yesu anatumia kumaanisha "ndiyo" lenye lengo lakumaanisha kutoweka wazi alichokuwa anasema "wewe ndiye unayesema" au "unaonesha kukiri"
# wakati aliposhitakiwa na wakuu wa Makuhani na wazee
"Lakini wakati wakuu wa makuhani na wazee walipomshitaki"
# Hyasikii mashaitaka yote dhidi yako?
Pilatoanauliza swali kwa sababu anashangazwa na ukimya wa Yewsu. "Ninashangazwa kwamba huwajibu hawa watu wanokushitaki kwa kutenda mabaya"
# neno moja, hivyo liwali alijawa na mshangao
"neno moja; hii ilimshangaza sana liwali"