# Senteni unganishi Ni habari inayoanzi 27:1 # Sasa Kama lugha yako ina maneno yanyotumika kuendeleza mazungumzo baada ya pumziko la hadithi kubwa, waweza kuyatumia hapa # liwali "Pilato" # wewe wasema hivyo Hii ni nahau ambayo Yesu anatumia kumaanisha "ndiyo" lenye lengo lakumaanisha kutoweka wazi alichokuwa anasema "wewe ndiye unayesema" au "unaonesha kukiri" # wakati aliposhitakiwa na wakuu wa Makuhani na wazee "Lakini wakati wakuu wa makuhani na wazee walipomshitaki" # Hyasikii mashaitaka yote dhidi yako? Pilatoanauliza swali kwa sababu anashangazwa na ukimya wa Yewsu. "Ninashangazwa kwamba huwajibu hawa watu wanokushitaki kwa kutenda mabaya" # neno moja, hivyo liwali alijawa na mshangao "neno moja; hii ilimshangaza sana liwali"