sw_tn/mat/26/73.md

20 lines
449 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mmoja wao.
"Mmoja wa hao waliokuwa pamoja na Yesu."
# Kwa kuwa rafudhi yako huonesha.
"Tunaweza kukuambia kwamba unatoka Galilaya kwa sababu unaongea kama Mgalilaya."
# kulaani.
"Kujitakia laana iwe juu yake mwenyewe."
# jogoo akawika
Tazama 26:33
# Petro alikumbuka maneno aliyoambiwa na Yesu, "kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu."
Ptro alikumbuka kuwa Yesu alikuwa amemwambia kuwa kabla jogoo hajawika atakuwa amemkana mara tatu"