# Mmoja wao. "Mmoja wa hao waliokuwa pamoja na Yesu." # Kwa kuwa rafudhi yako huonesha. "Tunaweza kukuambia kwamba unatoka Galilaya kwa sababu unaongea kama Mgalilaya." # kulaani. "Kujitakia laana iwe juu yake mwenyewe." # jogoo akawika Tazama 26:33 # Petro alikumbuka maneno aliyoambiwa na Yesu, "kabla jogoo hajawika utanikana mara tatu." Ptro alikumbuka kuwa Yesu alikuwa amemwambia kuwa kabla jogoo hajawika atakuwa amemkana mara tatu"