sw_tn/mat/26/49.md

16 lines
274 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alikuja kwaYesu.
"Yuda alimtokea Yesu."
# Alimbusu.
"Akakutana naye kwa kumbusu."
# ndipo wakaja
"Kiwakilishi "waka.." kinamaanisha wale watu waliokuja na Yuda wakiwaa na marungu na mapanga pamoja na viongozi wa dini
# Wakamnyooshea Yesu mikono.
Wakamkamata Yesu"