# alikuja kwaYesu. "Yuda alimtokea Yesu." # Alimbusu. "Akakutana naye kwa kumbusu." # ndipo wakaja "Kiwakilishi "waka.." kinamaanisha wale watu waliokuja na Yuda wakiwaa na marungu na mapanga pamoja na viongozi wa dini # Wakamnyooshea Yesu mikono. Wakamkamata Yesu"