sw_tn/mat/26/12.md

16 lines
348 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mafuta
Tazama 26:6
# kweli nawaambia
"nawambia ukweli" huu ni msisitizo wa kile kilichofuata
# popote injili hii itakapohubiriwa
"popote pale watu watakapohubiri injili hii"
# kitendo alichofanya huyu mwanamke, pia kitakuwa kinasemwa kwa ajili ya kumkumbuka
"watakumbuka kile ambacho mwanamke huyu amefanya na wataambiwa wengine juu yake"