# mafuta Tazama 26:6 # kweli nawaambia "nawambia ukweli" huu ni msisitizo wa kile kilichofuata # popote injili hii itakapohubiriwa "popote pale watu watakapohubiri injili hii" # kitendo alichofanya huyu mwanamke, pia kitakuwa kinasemwa kwa ajili ya kumkumbuka "watakumbuka kile ambacho mwanamke huyu amefanya na wataambiwa wengine juu yake"