sw_tn/mat/26/06.md

44 lines
973 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Hii inaanza na habari ya mwanamke akimwaga manukato ya gharama kabla ya kifo cha Yesu
# Wakati
Hil ni neno linalotumika kuazisha habari mpya. Mathayo anaanza kuelezea habari mpya
# Simoni mkoma
Inamaanisha kuwa huyu ndiye mtu ambaye Yesu alimponya kwa ukoma
# Alipokuw amejinyoosha.
"Yesu alikuwa amekaa upande wake". Unaweza kutumia neno la lugha yako kwa mkao wa watu ambavyo huwa wakati wa kula.
# Mwanamke alimwendea.
Mwanamke alikuja kwa Yesu.
# Mkebe wa alabasta.
chombo ambacho hugharimu sana kwa kukinunua kilicho tengenezwa na jiwe laini.
# Mafuta
Mafuta ambayo yana harufu nzuri.
# aliyamimina juu ya kichwa chake
Yule mwanamke alifanya hivi kuonesha heshima kwa Yesu
# Ni nini sababu ya hasara hii.
"Mwanamke huyu amefanya jambo baya kwa kuharibu mafuta haya"
# Haya yangeweza kuuzwa kwa thamani kubwa na kupew masikini
"angweza kuyauza kwa thamani kubwa ya pesa na kuitoa ile pesa
# kupewa masikini
"kwa watu masikini"