# Sentensi unganishi Hii inaanza na habari ya mwanamke akimwaga manukato ya gharama kabla ya kifo cha Yesu # Wakati Hil ni neno linalotumika kuazisha habari mpya. Mathayo anaanza kuelezea habari mpya # Simoni mkoma Inamaanisha kuwa huyu ndiye mtu ambaye Yesu alimponya kwa ukoma # Alipokuw amejinyoosha. "Yesu alikuwa amekaa upande wake". Unaweza kutumia neno la lugha yako kwa mkao wa watu ambavyo huwa wakati wa kula. # Mwanamke alimwendea. Mwanamke alikuja kwa Yesu. # Mkebe wa alabasta. chombo ambacho hugharimu sana kwa kukinunua kilicho tengenezwa na jiwe laini. # Mafuta Mafuta ambayo yana harufu nzuri. # aliyamimina juu ya kichwa chake Yule mwanamke alifanya hivi kuonesha heshima kwa Yesu # Ni nini sababu ya hasara hii. "Mwanamke huyu amefanya jambo baya kwa kuharibu mafuta haya" # Haya yangeweza kuuzwa kwa thamani kubwa na kupew masikini "angweza kuyauza kwa thamani kubwa ya pesa na kuitoa ile pesa # kupewa masikini "kwa watu masikini"