sw_tn/mat/26/01.md

20 lines
445 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa ujumla
Huu ni mwanzo wa sehehmu mpya wa simulizi amablao linaelezea kusulibiwa kwa Yesu, kufa na kufufuka. Hapa anawaeleza wanafunzi wake jinsi atakavyoteseka
# Wakati Yesu alipomaliza
"kisha " au"baadaye"
# Maneno haya yote.
Tazama 24:3
# Mwana wa Adamu atatolewa ili asulibiwe.
"Baadhi ya watu watamtoa Mwana wa Adamu kwa watu wengine ambao watamsulibisha."
# Mwana wa Adamu
Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu yake