# Maelezo kwa ujumla Huu ni mwanzo wa sehehmu mpya wa simulizi amablao linaelezea kusulibiwa kwa Yesu, kufa na kufufuka. Hapa anawaeleza wanafunzi wake jinsi atakavyoteseka # Wakati Yesu alipomaliza "kisha " au"baadaye" # Maneno haya yote. Tazama 24:3 # Mwana wa Adamu atatolewa ili asulibiwe. "Baadhi ya watu watamtoa Mwana wa Adamu kwa watu wengine ambao watamsulibisha." # Mwana wa Adamu Yesu anatumia nafsi ya tatu kuongea juu yake