sw_tn/mat/25/26.md

20 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaenedelea kueleza mfano wa watumishi na talanta.
# Wewe mtumwa mwovu na mzembe.
"wewe ni mtumwa mwovu ambaye hutaki kufanya kazi."
# Ninachuma mahali ambapo sikupanda na kuvuna mahali ambapo sikusiha.
Tazama 25:24
# Kupokea tena ile yangu.
"Kupokea tena fedha yangu mwenyewe"
# Faida.
Malipo yanayotolewa na benki kutokana na matumizi yasiyo ya kudumu ya pesa ya bwana.