# Sentensi unganishi Yesu anaenedelea kueleza mfano wa watumishi na talanta. # Wewe mtumwa mwovu na mzembe. "wewe ni mtumwa mwovu ambaye hutaki kufanya kazi." # Ninachuma mahali ambapo sikupanda na kuvuna mahali ambapo sikusiha. Tazama 25:24 # Kupokea tena ile yangu. "Kupokea tena fedha yangu mwenyewe" # Faida. Malipo yanayotolewa na benki kutokana na matumizi yasiyo ya kudumu ya pesa ya bwana.