sw_tn/mat/24/48.md

32 lines
544 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anahitimisha mithali yake ya bwana na mtumwa ...
# Anasema moyoni mwake.
"Anafikiri akilini mwake."
# Bwana wangu amekawia
Bwana wangu hafanyi haraka kuja
# katika siku ambayo hatarjii, na katika saa ambayo haijui
Virai hivi vyote vinamaanisha kitu kilekile. vinasisitiza kuwa bwana atakuja wakati ambao mtumwa wake hamtarajii kuja.
# Kumweka katika nafasi au kumhesabu kama.
"Kumtendea"
# kumweka katika nafasi
"kumtendea"
# atamkata vipande
kumfanya mtu aumie sana
# kilio na kusaga meno
Tazama 8:11