# Sentensi unganishi Yesu anahitimisha mithali yake ya bwana na mtumwa ... # Anasema moyoni mwake. "Anafikiri akilini mwake." # Bwana wangu amekawia Bwana wangu hafanyi haraka kuja # katika siku ambayo hatarjii, na katika saa ambayo haijui Virai hivi vyote vinamaanisha kitu kilekile. vinasisitiza kuwa bwana atakuja wakati ambao mtumwa wake hamtarajii kuja. # Kumweka katika nafasi au kumhesabu kama. "Kumtendea" # kumweka katika nafasi "kumtendea" # atamkata vipande kumfanya mtu aumie sana # kilio na kusaga meno Tazama 8:11