sw_tn/mat/24/37.md

16 lines
452 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kama ilivyokuwa katika siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adamu.
"Siku ambayo Mwana wa Adamu atakuja tena itakuwa kama ilivyokuwa siku za Nuhu,"
# Mwana wa Adamu
Yesu anaongea juu yake akaitumia nafsi ya tatu
# katika safina na hawakujua kitu
"katika safina. Na watu hawakuju kuwa kuna kitu kilikuwa kinaenda kutokea"
# ndivyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adamu
"Hivyo ndivyo itakavyokuwa wakati wa kuja kwa Mwana wa Adamu"