# Kama ilivyokuwa katika siku za Nuhu, ndivyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adamu. "Siku ambayo Mwana wa Adamu atakuja tena itakuwa kama ilivyokuwa siku za Nuhu," # Mwana wa Adamu Yesu anaongea juu yake akaitumia nafsi ya tatu # katika safina na hawakujua kitu "katika safina. Na watu hawakuju kuwa kuna kitu kilikuwa kinaenda kutokea" # ndivyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adamu "Hivyo ndivyo itakavyokuwa wakati wa kuja kwa Mwana wa Adamu"