sw_tn/mat/24/34.md

20 lines
405 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kweli nawaambia
"Nawaambia ukweli" huu ni msisitizo wa kile kinachosemwa baadaye
# Kizazi hiki hakitapita.
"Watu wanaoishi kipindi hiki hawatafariki wote."
# Hadi mambo yote haya yatakuwa yametokea.
"Mpaka Mungu asababishe mambo haya yote yatimie."
# Mbingu na nchi zitapita.
"Mbingu na nchi hazitaendelea kuwapo."
# maneno yangu hayatapita kamwe
"kile ninachosema daima kitabaki kuwa ukweli"