# kweli nawaambia "Nawaambia ukweli" huu ni msisitizo wa kile kinachosemwa baadaye # Kizazi hiki hakitapita. "Watu wanaoishi kipindi hiki hawatafariki wote." # Hadi mambo yote haya yatakuwa yametokea. "Mpaka Mungu asababishe mambo haya yote yatimie." # Mbingu na nchi zitapita. "Mbingu na nchi hazitaendelea kuwapo." # maneno yangu hayatapita kamwe "kile ninachosema daima kitabaki kuwa ukweli"