sw_tn/mat/24/23.md

16 lines
309 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwaambia wanafunzi wake
# Msiamini maneno hayo
"Msiamini mambo ya uongo wanayowaambia."
# kwa kusudi la kuwapotosha
"ili kuwafanya watu wasitii"
# kupotosha, kama ingeliwezekana hata na wateule
"kupotosha, kama ingeliwezekana, watawafanya hata na wateule kutotii"