# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaambia wanafunzi wake # Msiamini maneno hayo "Msiamini mambo ya uongo wanayowaambia." # kwa kusudi la kuwapotosha "ili kuwafanya watu wasitii" # kupotosha, kama ingeliwezekana hata na wateule "kupotosha, kama ingeliwezekana, watawafanya hata na wateule kutotii"