sw_tn/mat/24/15.md

16 lines
354 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# chukizo la uharibifu
"mtu wa aibu atakayevinajisi vitu vya Mungu"
# Lililosemwa na nabii Danieli.
"Kuhusu ambacho nabii Danieli aliandika."
# asomaye na afahamu
Haya maneno hayakusemwa na Yesu. Matahayo aliongezea haya ili kupata usikivu
# Na yule aliyeko juu ya paa
mapaa wakati wa Yesu yalikuwa tambarare, kiasi kwamba watu wangeweza kusimama