# chukizo la uharibifu "mtu wa aibu atakayevinajisi vitu vya Mungu" # Lililosemwa na nabii Danieli. "Kuhusu ambacho nabii Danieli aliandika." # asomaye na afahamu Haya maneno hayakusemwa na Yesu. Matahayo aliongezea haya ili kupata usikivu # Na yule aliyeko juu ya paa mapaa wakati wa Yesu yalikuwa tambarare, kiasi kwamba watu wangeweza kusimama