sw_tn/mat/24/01.md

20 lines
532 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kueleza matukio amabayo yatakuja tokea kabla hajarudi mara ya pili
# alitoka hekaluni
Inaonesha kuwa Yesu hakuwa ndani ya hekalu. alikuwa kwenye korido la hekalu.
# Je, hamyaoni mambo haya yote?
"Ngoja niwaambie kitu fulani kuhusu majengo haya yote."
# kweli nawambia
"Nawaambia ukweli." huu ni msisitizo wa kile alichosema Yesu badaye
# Hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe lingine ambalo halitabomolewa
"wakati maaskari walio adui watakapokuja, watabomoa kila jiwe juu ya majengo haya"