# Sentensi unganishi Yesu anaanza kueleza matukio amabayo yatakuja tokea kabla hajarudi mara ya pili # alitoka hekaluni Inaonesha kuwa Yesu hakuwa ndani ya hekalu. alikuwa kwenye korido la hekalu. # Je, hamyaoni mambo haya yote? "Ngoja niwaambie kitu fulani kuhusu majengo haya yote." # kweli nawambia "Nawaambia ukweli." huu ni msisitizo wa kile alichosema Yesu badaye # Hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe lingine ambalo halitabomolewa "wakati maaskari walio adui watakapokuja, watabomoa kila jiwe juu ya majengo haya"