sw_tn/mat/23/16.md

20 lines
463 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Viongozi vipofu...wapumbavu.
Tazama 15:12
# kwa hekalu, si kitu
"kwa hekalu hawezi kulinda kiapo chake
# Amefungwa na kiapo chake.
"Lazima atende kile alichoahidi kufanya."
# Kipi ni kikubwa kuliko kingine, dhabu, au hekalu ambalo limeweka wakfu dhahabu ya Mungu?
Hekalu amablo limetumika kuweka wakfu dhahabu kwa Mungu ni la muhimu kuliko dhahabu ile"
# Hekalu amabalo limeweka wakfu dhahabu
"Hekalu ambalo hutengeneza dhahabu ni mali ya Mungu pekee"