# Viongozi vipofu...wapumbavu. Tazama 15:12 # kwa hekalu, si kitu "kwa hekalu hawezi kulinda kiapo chake # Amefungwa na kiapo chake. "Lazima atende kile alichoahidi kufanya." # Kipi ni kikubwa kuliko kingine, dhabu, au hekalu ambalo limeweka wakfu dhahabu ya Mungu? Hekalu amablo limetumika kuweka wakfu dhahabu kwa Mungu ni la muhimu kuliko dhahabu ile" # Hekalu amabalo limeweka wakfu dhahabu "Hekalu ambalo hutengeneza dhahabu ni mali ya Mungu pekee"