sw_tn/mat/23/08.md

28 lines
624 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Lakini ninyi hampaswi kuitwa
"Msimruhusu mtu yeyote awaite"
# ninyi
viwakilishi vyote vya "ninyi" viko katka wingi na vinamaanisha wafauasi wote wa Yesu
# wote ni ndugu
Neno "ndugu" linamaanisha "waumini wenzenu"
# msimwite mtu yeyeote hapa duniani kuwa baba
"msiseme kwamba mtu yeyote hapa duniani ni baba yenu"
# kwa kuwa mnaye baba mmoja tu
"baba" ni cheo muhimu cha Mungu
# walla msije mkaitwa
"pia msimruhusu mtu kuwaita"
# Kwa kuwa mnaye mwalimu mmoja tu, yaani Kristo
Wakati Yesu aliposema "Kristo" alikuwa anasema juu yake mwenyewe katika nafsi ya tatu. AT: "Mimi, Kristo ndiye mwalimu wenu pekee."