# Lakini ninyi hampaswi kuitwa "Msimruhusu mtu yeyote awaite" # ninyi viwakilishi vyote vya "ninyi" viko katka wingi na vinamaanisha wafauasi wote wa Yesu # wote ni ndugu Neno "ndugu" linamaanisha "waumini wenzenu" # msimwite mtu yeyeote hapa duniani kuwa baba "msiseme kwamba mtu yeyote hapa duniani ni baba yenu" # kwa kuwa mnaye baba mmoja tu "baba" ni cheo muhimu cha Mungu # walla msije mkaitwa "pia msimruhusu mtu kuwaita" # Kwa kuwa mnaye mwalimu mmoja tu, yaani Kristo Wakati Yesu aliposema "Kristo" alikuwa anasema juu yake mwenyewe katika nafsi ya tatu. AT: "Mimi, Kristo ndiye mwalimu wenu pekee."