sw_tn/mat/23/04.md

24 lines
733 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wanafunga mizigo mizito ambayo ni migumu kubeba, na kisha kuwabebesha watumabegani
"Wanawawekea ninyi kanuni nyingi ambazo ni ngumu kufuata."
# Wao wenyewe hawasogezi hata kidole kuibeba
"Wao hawatatoa msaada hata msasada kidogo"
# Matendo yao yote huyafanya ili watazamwe na watu
wanafanya mataendo yao kwa kusuadi la kutazamwa na watu
# Kwa sababu wao hupanua masanduku yao, na huongeza ukubwa wa mapindo wa mavazi yao
Hivi vyote ni vitu ambavyo Mafarisayo huvifanya ili waonekane kuwa wanamtii Mungu kuliko watu wengine
# Masanduku
Haya ni makasha madogo ya ngozi yenye karatasi za maandiko
# hongeza ukubwa wa mapindo ya mavazi yao
Mafarisayo huweka mapindo marefu chini ya kanzu zao kuonesha uchaji wao kwa Mungu.