# Wanafunga mizigo mizito ambayo ni migumu kubeba, na kisha kuwabebesha watumabegani "Wanawawekea ninyi kanuni nyingi ambazo ni ngumu kufuata." # Wao wenyewe hawasogezi hata kidole kuibeba "Wao hawatatoa msaada hata msasada kidogo" # Matendo yao yote huyafanya ili watazamwe na watu wanafanya mataendo yao kwa kusuadi la kutazamwa na watu # Kwa sababu wao hupanua masanduku yao, na huongeza ukubwa wa mapindo wa mavazi yao Hivi vyote ni vitu ambavyo Mafarisayo huvifanya ili waonekane kuwa wanamtii Mungu kuliko watu wengine # Masanduku Haya ni makasha madogo ya ngozi yenye karatasi za maandiko # hongeza ukubwa wa mapindo ya mavazi yao Mafarisayo huweka mapindo marefu chini ya kanzu zao kuonesha uchaji wao kwa Mungu.