sw_tn/mat/22/31.md

20 lines
521 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Katika 22:32, Yesu ananukuu kutoka kitabu cha Kutoka ili kuhakikisha kuwa watu wataishi tena baada ya kifo
# Hamjasoma kile ambacho ...Yakobo?'
"Najua mmekwisha soma, Lakini inaonekana hamkuelewa ambacho...Yakobo.'
# Kile kilichosemwa kwenu na.
"Kile alichowaambia Mungu"
# Mungu, anasema, Mimi ni...Yakobo?'
"Mungu alimwambia Musa kwamba Yeye, Mungu, ni Mungu wa Abramu,Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo."
# "Si Mungu wa wafu balini Mungu wawalio hai
wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai"