# Sentensi unganishi Katika 22:32, Yesu ananukuu kutoka kitabu cha Kutoka ili kuhakikisha kuwa watu wataishi tena baada ya kifo # Hamjasoma kile ambacho ...Yakobo?' "Najua mmekwisha soma, Lakini inaonekana hamkuelewa ambacho...Yakobo.' # Kile kilichosemwa kwenu na. "Kile alichowaambia Mungu" # Mungu, anasema, Mimi ni...Yakobo?' "Mungu alimwambia Musa kwamba Yeye, Mungu, ni Mungu wa Abramu,Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo." # "Si Mungu wa wafu balini Mungu wawalio hai wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai"