sw_tn/mat/22/25.md

20 lines
371 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Mafarisayo wanaendelea kumwuliza Yesu swali
# wa kwanza ... wa pili ... wa saba
namba za mpangiliio
# Baada ya wote.
"Baada ya kila ndugu kuwa amemuoa" au " Baada ya kila ndugu kuwa amefariki."
# baada ya kufanya hivyo wote
"baada ya kila ndugu kufa"
# sasa
Hapa Masadukayo wanabadilisha habari ya ndugu yule wa saba na kuuliza swali halisi