# Sentensi unganishi Mafarisayo wanaendelea kumwuliza Yesu swali # wa kwanza ... wa pili ... wa saba namba za mpangiliio # Baada ya wote. "Baada ya kila ndugu kuwa amemuoa" au " Baada ya kila ndugu kuwa amefariki." # baada ya kufanya hivyo wote "baada ya kila ndugu kufa" # sasa Hapa Masadukayo wanabadilisha habari ya ndugu yule wa saba na kuuliza swali halisi