sw_tn/mat/22/20.md

20 lines
362 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wa
kiwakilishi "wa" kinamaanisha Maherode na wanafunzi wa Mafarisayo.
# Sura na jina hili ni vya nani
Niambieni sura na jina mnavyoviona kwenye hii sarafu ni vya nani?
# vya Kaisari.
"Sarafu hii ina sura na jina la Kaisari"
# vitu ambavyo ni vya Kaisari
"Vitu ambavyo ni mali ya Kaisari"
# Vitu ambavyo ni vya Mungu.
"Vitu ambavyo ni mali ya Mungu."