# wa kiwakilishi "wa" kinamaanisha Maherode na wanafunzi wa Mafarisayo. # Sura na jina hili ni vya nani Niambieni sura na jina mnavyoviona kwenye hii sarafu ni vya nani? # vya Kaisari. "Sarafu hii ina sura na jina la Kaisari" # vitu ambavyo ni vya Kaisari "Vitu ambavyo ni mali ya Kaisari" # Vitu ambavyo ni vya Mungu. "Vitu ambavyo ni mali ya Mungu."