sw_tn/mat/22/04.md

20 lines
516 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesuanaendelea kuelezea mfano
# watumishi wengine, akisema waambieni wote walioalikwa
akawaamuru, watumishi wawaambie wale aliowaalika.
# Angalieni
"Angalia" au "Sikiliza" au "Kuwa msikivu kwa kile ninachotaka kukuambia."
# Fahali na ndama wangu wameuawa
Inamaanisha kuwa wale wanyama wameshapikwa na wako tayari kwa kuliwa. "Watumishi wangu wamechinja na wamewapika mafahali na ndama wangu wanono"
# Mafahali na ndama wangu wanono
"Mafahali wangu na ndama wangu walio wazuri kwa kula"